Ticker

6/recent/ticker-posts

Dalili za mwili wenye sumu nyingi

 




DALILI 12 ZA MWILI WENYE SUMU NYINGI


Kimsingi ni Kwamba tunaingiza Sumu nyingi saana Mwilini siku hizi kutokana na Mfumo Wa maisha tunaoishi. Hewa tuvayovuta Kuna Uchafuzi Mkubwa, Vyakula tunavyokula lakini pia Madawa ya Kisasa yana Kiwango cha Kemikali Fulani. Zifuatazo ni Dalili hizi....


1.Uzito uliozidi na Hautoki /Haupungui  kirahisi Kwa kufanya Diet au Mazoezi (Ukipungua Unarudi tena Haraka)


2. Kuchoka Ovyo Kusikoelezeka.


3. Kukosa Usingizi (Kuwa na Stress hasa Usiku)


4. Kushuka Uwezo Wa Kufikiri


5. Maumivu Ya Kichwa Mara Kwa Mara.


6. Kuwa na Mood mbaya Mara Kwa Mara (Kukasirika Haraka)


7. Mwili kutoa Harufu mbaya. (Jasho Kali saana, mdomo  au Kutoa Choo Chenye Harufu Kali kuliko Kawaida.


8. Kupata Choo Kigumu (Kukosa Choo Kwa Siku Kadhaa) au kupata Mara moja Kwa siku nzima wakati umekula zaidi ya Mara 2.


9. Maumivu ya Misuli yasiyoelezeka.


10. Ngozi Kukosa Nuru


11. Kuwa Sensitive saana na Harufu na Kuhisi Harufu nyingi zinakuumiza


12. Kuwa na Hamu kubwa ya Vyakula hasa vyenye Mafuta Mengi, Sukari nyingi na Chumvi Nyingi.


Kama Una Kati ya Dalili Kuanzia 3 kati ya Hizi tambua Kuwa Mwili wako unahitaji Kuondolewa Sumu. Tunahuduma nzuri saana ya Bidhaa Lishe ya Kuondoa Sumu Mwilini. Usipofanya Hivyo, Tarajia matatizo Makubwa kwenye afya yako siku za Usoni

Post a Comment

0 Comments