Juice ya Ajabu.
Juisi tiba yenye Dawa 5 Ni juisi ya kiasili yenye kutibu maradhi lukuki, maana kila kilichochanganywa ni dawa ndani yake.
Tumeandaa kwa kutumia dawa tano ambazo ni:-
1. Asali mbichi ya nyuki wadogo/ wakubwa
2. Mdalasini wa india
3. Vitunguu Saum vya kienyeji
4. Habbat Soda
5. Tangawizi za kienyeji.
MARADHI INAYOTIBU.
Nguvu za kiume,Inasisimua misuli iliyolegea,inaamsha hisia za mapenzi kwa wanawake na wanaume, Inapunguza kiasi kikubwa cha Cholesterol,inaongeza kinga mwili haraka sana,inakinga magonjwa nyemelezi,Kifua pamoja na pumu, pia Amoeba,
Bawasili,Gesi, kukosa choo, hamu ya kula... N.k
MAANDALIZI.
.
Tunatumia Asali yetu mbichi original haijachakachuliwa kabisa na imechujwa vyema alafu tunamenya vitunguu saumu vya kienyeji kwa ustaadi mkubwa pamoja na tangawizi tunazitoa maganda kwa umakini wa hali ya juu sana.
Tunatumia mdalasini wa india na si wa Tanzania kwa sababu wa india ndio bora sana.
Habbat soda tunayotumia pia ni Original.
UCHANGANYAJI.
Baada ya kuchukua vipimo sahihi vya vitunguu saumu,tangawizi,mdalasini na habat soda tunamimina asali kwenye BLENDA, inasaga sana mpaka inalainika vizuri sana tunaweka kwenye Chupa inakua tayari hakuna Chemical hata moja.
MATUMIZI.
Asubuhi mapema ukiamka unaitikisa sana, unatumia vijiko vitatu vya chakula na usiku pia unapoelekea kulala unatumia vijiko vitatu vya chakula.
0 Comments