Hello , karibu katika ukurasa huu wa melikitz ili kupata dondoo mbalimbali katika maisha yetu ya Kila siku. Kama vile dondoo za afya ,jinsi ya kutengeneza pesa mtandaoni ,misic na vingine.
Leo naenda kukuonesha jinsi ya kutengeneza pesa hata $4 kwasiku kwa kutumia simu yako. Cha kufanya gusa link
https://www.idplr.com/a/Meliki
Ikishafunguka gusa register free
afu shuka chini kidogo utaona neno free members
Baada ya hapo utaweka email yako na utatumiwa message kwenye email yako utaenda kwenye email yako afu gusa activate your account. Afu weka username na password ili kumaliza usajili. Mpaka hapo unakuwa umemaliza usajili.😁
Jinsi ya kutengeneza pesa kwa kutumia hii site.
1,kualika watu na kujiunga
Hapa Kila ukialika mtu unalipwa 0.2$. Kwahy ukiwa na watu 10 unakuwa na 2$. Hapa unapewa link ndo utatumia kualika mtu/watu.
Jinsi ya kupata link yako
Ingia kwenye akaunti yako kwenye dashboard yako gusa affliate
baada ya kufunguka shuka chini kidogo gusa affliate program here
baada ya hapo shuka chini utaona sehemu hii
utaweka jina lako fupi afu gusa next. Baada ya hapo link yako itakuwa tiari kwa kutumika. Afu utai-copy na kushare
2, zipo training za aina mbalimbali ambazo zipo utajifunza
Jinsi ya kuangalia ela ambayo ushaingiza na watu walojiunga
Ingia kwenye akaunti yako kwenye dashboard yako gusa affliate
baada ya kufunguka gusa statistics page
ikishafunguka ndo utapata data zote.
Ili kujiunga gusa hapa 👉https://www.idplr.com/a/Meliki
Ukikwama PIGA/SMS/WHATSAAP
0628469436
0 Comments