TATIZO LA KUPATA MAUMIVU WAKAT WA HEDHI (DISMENORRHEA)
Leo ninaongelea tatizo hilo ambalo linawasumbua wanawake na wasichana wengi sana.
FAHAMU KUHUSU TUMBO LA HEDHI (PERIOD PAINS)
Tumbo la hedhi(period pains) ~ni maumivu yanayotokea sehemu ya chini ya tumbo karibu na kitovu au kiunoni wakati mwanamke anapoanza kupata siku zake, maumivu haya huanza pale mayai yanapotoka katika mrija (FALLOPIAN TUBES) na kuteremka chini ya mirija hiyo wakati wa OVULATION
Maumivu huweza kuwa makali au ya kawaida pia kuna aina kuu mbil za maumivu ya hedhi.
AINA ZA DISMENORRHEA (MAUMIVU WAKAT WA HEDHI)
... (A) PRIMARY DISMENORRHEA/MENARCHEA
Haya ni maumivu yasiyokuwa na sababu maalum, katika aina hii maumivu huwa ni ya kawaida na hutokea sehemu ya chini ya tumbo na kiunoni pia maumivu haya huanza siku moja/mbil kabla ya kuingia katika hedhi na humalizika siku ya tatu au ya nne baada ya kuingia katika mzunguko.
Maumivu haya hutokana na uongezekaji wa tindikali ya PROSTAGLINDS ambayo hutokea siku chache baada ya kupevuka kwa mayai na kufanya misuli kusinyaa hivyo kusinyaa huko kwa tumbo huingiliana na mzunguko wa damu na hivyo kupata maumivu makali.
B) SECONDARY DISMENORRHEA
Haya ni maumivu yanayotokea kutokana na sababu mbalimbali kama vile matatzo katika kizazi, ugonjwa wa nyonga (PID) na matatzo katika mirija ya mayai.
Asilmia 60% ya wanawake/wasichana wanaosumbuliwa na tatizo Hili hupata maumivu haya kabla na baada ya kuingia katika hedhi pia baadhi ya wanawake/wasichana hupata maumivu haya zaidi na kupelekea kulazwa hospitali au kushindwa kabisa kufanya kazi.
Hiii husababishwa na uyoga wa kizazi yaani friboids ambayo ni maambukizi sugu ya via vya uzazi.(PID),ENDOMETRIOSIS au OVARIAN CYST na viwambo vya mpango wa Uzazi vinavyoingizwa katika kizazi mfano VIJITI, VITANZI, NA VIDONGE VYA KUZUIA MIMBA ambavyo ndani yake kuna vichocheo vya PROGESTERONE vyenye madhara mengi mfano ugonjwa wa moyo nk.
DALILI ZA UGONJWA HUU
👉 Maumivu makali chini ya kitovu.
👉Kuhisi kichefuchefu.
👉Kuuma kwa matiti na kuhisi yamejaa.
👉Kutapika
👉Kuharisha
👉Damu kutoka ikiwa imeganda.
👉Maumivu makali kichwani,kiunoni na mgongoni.
JINSI YA KUJIKINGA NA UGONJWA HUU.
👉Kula matunda mengi ya kutosha.
👉Mbogamboga za majani kwa wingi.
👉Punguza sodium katika vyakula.
👉Kuacha uvutaji wa sigara/bangi.
👉Epuka kula vyakula vyenye caffeine na sukari.
👉Epuka kutumia pedi zisizo na anions tumia pedi zinazoitwa NEPLILY SANITARY PAD.
0 Comments